Mkutano wa Kenyatta na Odinga umezua mgawanyiko katika upinzani Kenya?

Bw Musyoka, Bw Mudavadi na Bw Wetangula walikuwa wamedokeza kwamba wangetafuta ufafanuzi zaidi kuhusu mazungumzo ya Ijumaa wakati wa mkutano mkuu wa muungano huo ambao ulikuwa umepangiwa kufanyika leo Jumatatu....

read more...

Share |

Published By: BBC Swahili - Monday, 12 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News