MKUDE AREJESHWA FIRST 11 SIMBA

  NA CLARA ALPHONCE HII inaweza kuwa taarifa nzuri kwa mashabiki wa Simba, baada ya wadau pamoja na makocha wenye ushawishi katika soka la Tanzania, kupendekeza kuwa kiungo mwenye uwezo mkubwa ambaye pia ni nahodha wa zamani wa kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, Jonas Mkude, arejeshwe kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Kiungo huyo anayependwa na mashabiki wa Wekundu wa Msimbazi kutokana na mchango wake mkubwa, kwa sasa amekuwa akiwekwa benchi na kocha Mcameroon Joseph Omog, bila sababu za kueleweka. Hata hivyo, baadhi ya wachambuzi na makocha ambao wamewahi...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News