MKHITARYAN KUMRITHI SANCHEZ ARSENAL

LONDON,   England TIMU ya Arsenal ina mpango wa kumsajili kiungo wa Man United, Henrikh Mkhitaryan. Gunners wanamtaka staa huyo kama sehemu ya mkataba endapo Sanchez atakwenda Old Trafford. The post MKHITARYAN KUMRITHI SANCHEZ ARSENAL appeared first on Bingwa....

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 16 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News