Mkemi kuhusu kauli ya Manara “Sisi mpango wa kuishangilia Simba hatuna”

Jana afisa habari wa Simba SC Haji Manara alitangaza kuwaomba mashabiki wa Simba kutokwenda uwanja wa Taifa kuwazomea Yanga katika m,chezo wao wa club Bingwa Afrika dhidi ya St Louis ya Ushelisheli, Manara aliwaomba mashabiki wa Simba kuacha dhana ya kushangilia timu za kigeni zinazocheza na watani zao wa jadi Yanga na badala yake wawe […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News