MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA SHEIN AKABIDHI MSAADA WA VYARAHANI ZANZIBAR.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein kulia akipeana mikono ikiwa ni ishara ya kupokelewa na Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico mara baada ya kuwasili katika ofisi ya Ushirika wa akina Mama (SIRI MOYONI) Unguja Ukuu Kae pwani Wilaya ya Kati Unguja.Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiangalia nguo ilioshonwa na Wanaushirika wa akina Mama (SIRI MOYONI) mara baada ya kuwasili na kwenda kuangalia maonesho ya Ujasiria mali unaofanywa na Ushirika huo Unguja Ukuu Kae pwani Wilaya ya Kati Unguja.Wanyuma...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News