Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein. Amesema Zanzibar Bila ya Vitendo Vya Udhalilishaji wa Wanawake na Watoto Inawezekana Iwapo Iwapo Kutakuwa na Ushirikiano Kupiga Vita Vitendo Hivyo.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwahutubiwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar wakati wa hafla ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Kitaifa imeadhimishwa katika Mkoa huo katika viwanja vya Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein amesema kuwa Zanzibar bila ya vitendo vya udhalilishaji wa wanawake na watoto inawezekana iwapo kutakuwa na ushirikiano katika kuvipiga vita vitendo hivyo.Mama Shein aliyasema hayo leo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Koba huko Makunduchi Wilaya ya Kusini, Mkoa wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News