Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli Aongoza Maelfu Katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika kucheza na kuimba nyimbo za hamasa na wanawake wa mkoa wa Dar es salaam kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leoMke wa Rais Mama Janeth Magufuli akihutubua maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea tuzo maalumu kutoka kwa  wanawake wa mkoa wa Dar es salaam kwa mchango wake wa kusaidia...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News