Mke amfungulia mashtaka mumewe kwa madai yanayohusu watoto wao

Kutoka Kenya tukiachana stori zinazomhusu aliyemuapisha Raila Odinga, Miguna Miguna kuna hii inayomhusu Mwanaume mmoja raia wa Kenya aliyetambulika kwa jina la Samwel Kago mwenye miaka 48 Jumatano January 7, 2018 alikamatwa na polisi kwa kosa la kutowapeleka watoto wake wawili shule. Winnie Kago ambaye ni mke wa Mwanaume huyo ndiye aliyekwenda polisi na kumshtaki mumewe kwa kutopeleka […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News