Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balosi Seif Ali Iddi Azindua Tawi la Kisasa la CCM Mpapa Wilaya ya Kati Unguja.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kulizindua rasmi Jengo la Tawi la CCM Mpapa ndani ya Jimbo la Uzini.Nyuma ya Balozi Seif ni Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mheshimiwa Moh’a Raza Hassanali.Balozi Seif akipokea mchango wa Fedha Milioni 19,600,000/- kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mh. Hoh’d Raza Hassanali kwa ajili ya kuvisaidia Vikundi 97 vya Wajasiri amali wa Shehia 17 za Jimbo la Uzini.Kati kati yao ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ambae pia ni Mkuu wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News