Mikwaju ya penati imeiua Zanzibar vs Kenya fainali leo

Timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes Jumapili ya December 17 2017 ilikuwa mjini Machakos Kenya kucheza mchezo wake wa fainali ya michuano ya CECAF Senior Challenge Cup dhidi ya timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars. Zanzibar ndio wawakilishi pekee wa Tanzania waliyokuwa wamefanikiwa kufika hatua ya mbali baada ya wenzao wa Tanzania bara […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Sunday, 17 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News