MIKOPO CHECHEFU YAATHIRI FAIDA CRDB

Eliya Mbonea, Arusha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei amesema kutengwa kwa zaidi ya Sh Bilioni 150 kwa ajili ya mikopo chechefu kuliathiri kwa namna moja au nyingine upatikanaji wa faida wa benki hiyo. Dk. Kimei amesema hayo leo Mei 16, mjini hapa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari akielezea kuhusu mkutano wa wanahisa wa benki hiyo utakaofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Mei 19 mwaka huu. “Mwaka uliopita tulipata faida ya Sh bilioni 36 baada ya kukatwa kodi na kabla ya kodi...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News