MHE MWANJELWA AWATAKA WANANCHI MBEYA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI KWA VITENDO

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Dkt Mary Mwanjelwa akiwasihi waumini kumuunga mkono na kumuombea Rais Magufuli wakati akitoa salamu kwenye ibada ya Siku ya Wazee iliyofanyika katika kanisa La Huduma ya Maombezi na Uponyaji (Jesus Healing Centre T. Ministry) lililopo Katika Mtaa wa Sinde B, Kata ya Manga Jijini Mbeya, Leo 1 Januari 2018. Picha Zote Na Mathias CanalNaibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Dkt Mary Mwanjelwa akimlisha chakula mmoja ya wazee waliohudhuria ibada ya Siku ya Wazee iliyofanyika katika kanisa La Huduma ya Maombezi na Uponyaji...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News