Mhasitu Atumia Kanga Kujinyonga Katika Choo cha Baa

Watu wanne wamefariki dunia Mkoani Kilimanjaro, katika matukio tofauti, likiwamo la Mhasibu wa Taasisi ya fedha ya utoaji wa mikopo kwa wakulima na wafugaji (Brac), Victoria Kimario, kujinyonga kwa kutumia kanga katika choo cha Baa moja iliyoko Mkuu Wilaya ya Rombo.Akitoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari leo Juni 12, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Hamisi Issah, alisema vifo hivyo vilitokea kwa nyakati na maeneo tofauti, Juni 9, mwaka huu.Akizungumzia tukio la mhasibu wa Brac kujinyonga, Kamanda Issah amesema, tukio hilo lilitokea majira ya saa 4:45 usiku katika choo...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Tuesday, 12 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News