Mhariri wa gazeti la Tanzania lililofungiwa atishiwa maisha

Mhariri mkuu wa gazeti moja la Tanzania lililofungiwa na Serikali juma lililopita baada ya kuchapisha habari iliyowahusisha maraisi wa zamani kwenye sakata la mikataba ya madini, amesema toka wakati huo amekuwa akipokea simu za vitisho kutoka kwa watu wasiofahamika....

read more...

Share |

Published By: RFI France - Sunday, 18 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News