Mganga wa jadi, wenzake 10 mbaroni kwa mauaji

WATU 11 wanashikiliwa na Polisi mkoani Dodoma akiwemo mganga wa jadi, Ashura Matha (33), wakituhumiwa kuhusika na kifo cha Mariam Saidi (17) aliyeuawa kikatili kwa kukatwa shingo, kutenganishwa kiwiliwili na kuchomwa moto kichwa na sehemu za mwili wake....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Thursday, 10 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News