Mfumo utakaotumika msimu mpya wa Ligi Kuu 2017/18 kujulikana Julai 8

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.Vilabu 28 ambavyo vimo katika mchakato wa upatikanaji wa timu 12 za ligi kuu soka ya Zanzibar msimu mpya wa mwaka 2017-2018 wametumiwa barua na Chama cha Soka Visiwani Zanzibar (ZFA) kuhusu kikao cha mchakato wa upatikanaji wa timu kumi na mbili za ligi kuu msimu wa 2017-2018, kikao ambacho kitafanyika siku ya Jumamosi ya July 8, 2017 saa 3:00 za asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.Kwa mujibu wa barua hiyo viongozi wawili kwa kila klabu kati ya Vilabu 14 vya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News