Meya Jacob afunguka baada ya kudaiwa kupigana katika uchaguzi DSM

Leo January 3, 2018 umefanyika uchaguzi wa Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam ambapo katika uchaguzi huo imeelezwa mgombea wa CUF ameshinda lakini kuliibuka fujo ambazo zimemuhusisha Meya wa Ubungo. AyoTV imempata Meya wa Ubungo Boniface Jacob ambaye amefunguka na kuelezea mkasa huo mzima jinsi ulivyotokea katika video hii hapa chini. MEYA WA […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News