Messi na Cavanni wavunja rekodi usiku wa Champions league, matokeo yote haya hapa

Kwa mara ya kwanza Lioneil Messi anamtungua Buffon, Barcelona wanaaifunga Juventus bao 3 kwa sifuri huku mabao 2 ya Lioneil Messi yanamfanya kufikisha idadi ya mabao 59 katika hatua ya makundi tu ya michuano ya Champions League, Ivan Rakitic alifunga bao lingine la Barcelona. Edson Cavanni naye ameuchukua ufalme wa Zlatan Ibrahimovich ambaye alikuwa na rekodi ya kufunga mabao 20 katika Champions League lakini sasa Cavanni anakuwa na mabao 22 baada ya kufunga mara mbili dhidi ya Celtic na kuwa mfungaji bora wa muda wote wa PSG katika michuano ya...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Tuesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News