Meneja wa Diamond kauliza “Kumbe tatizo ni kumpoteza huyu kijana?

Leo February 7,2018 story ambayo inachukua headlines kwenye mitandao ya kijamii ni ya Meneja wake Diamond Platnumz ambaye ni Sallam Sk kawaacha midomo wazi mashabiki wake baada ya kuandika caption kupitia instagram account yake ambayo imewaacha wengi na maswali. Kupitia ukurasa wa instagram wa Sallam SK ameamua kuandika ujumbe akiwa kapost picha ya Diamond Platnumz na ujumbe […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News