Meja Jenerali mstaafu apigwarisasi Dar, Rais Magufuli amjulia hali

RAIS John Magufuli ametembelea Hospitali Kuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es Salaam na kumjulia hali Meja Jenerali mstaafu Vincent Mritaba aliyelazwa hospitalini hapo baada ya kushambuliwa na watu wenye silaha wakati akiingia nyumbani kwake Ununio, Kinondoni jijini humo....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Tuesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News