Mechi ya Casablanca, Mazembe kuamuliwa kwa video

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) linajiandaa kutumia mfumo wa teknolojia ya video kuwasaidia waamuzi (VAR) kwa mara ya kwanza mwishoni mwa wiki hii. VAR ambayo ilisababisha mkanganyiko mkubwa Ulaya, itatumika Casablanca Jumamosi hii katika mechi ya Caf Super Cup....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Michezo - Wednesday, 21 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News