M,chezo wa Ligi Kuu ya Zanbzibar JKU Yatoka Kidedea Kwa Kuifunga Miembeni City Bao 1- 0 Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Beki wa Timu ya JKU akiokoa mpira huku mshambuliaji wa Timu ya Miembeni City akijiandaa kuchukua mpira huo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan. Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa bao.1 - 0. ...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News