Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Kati ya Singida United na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan. Timu ya Singida United Imeshinda Bao 3 -2.

Mchezaji wa Timu ya Singida Unite Michel Rusheshangoga akiruka kihuzi cha beki wa Timu ya Zimamoto Amour Haji akiwa chini na Hassan Haji akijaribu kumzuiya wakati wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Singida imeshinda mchezo huo kwa bao 3 -2. ...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News