Mchezo wa Kirafi Kati ya Simba na Mlandege Uwanja wa Amaan Timu Hizo Zimetoka Sare ya 0-0.

Kikosi cha Timu ya Simba kiingia Uwanja tayari kupambana na Timu ya Mlandege katika mchezo wake wa kujipima nguvu kujiandaa na Mchezo wa Ngao ya Isani na Watao wao Yanga siku ya tarehe 23mwezi huu jijini Dar es Salaam. ...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 18 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News