MCHECHU WA NHC ASIMAMISHWA KAZI

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu ili kupisha uchunguzi. Mbali na Mchechu, Lukuvi pia ameagiza bodi ya shirika hilo kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Huduma za Mikoa na Utawala, Raymond Mndolwa. Taarifa iliyotolewa jana saa moja usiku na Mkurugenzi wa Idara ya Habari – Maelezo na Msemaji wa Serikali, Dk. Hassan Abbasi, ilieleza kuwa Lukuvi amechukua uamuzi huo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 17 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News