Mbunge Waitara ambana Naibu Spika atoe ushuhuda

MBUNGE wa Ukonga  Mwita Waitara (Chadema) amembana Naibu Spika, Dk.Tulia Akson na kumtaka atangaze kuwa anautambua uongozi wa gani wa wabunge wa CUF ndani ya Bunge, anaandika Dany Tibason. Waitara alimbana Naibu Spika wakati akiomba mwongozi wa Spika ili kutaka lijua msimamo wa Spika wa kutambua uongozi halali wa viongozi wa CUF ndani ya Bunge. ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News