Mbunge wa Jimbo la Mtama Mhe. Nape Afunguka Akimnadi Dkt. Ndumbaro Na Kusema Kamwe Hatahama CCM.

Nape akibadilishana mawazo na Dk. NdumbaroNa Gideon Mwakanosya-SongeaMBUNGE wa jimbo la Mtama mkoa wa Lindi Nape Nnauye amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kukihama chama cha mapinduzi (CCM) kama baadhi ya watu wakiwemo wa vyama vya upinzani  kwa kile alichodai kuwa  magari ya upinzani yanaenda kuzama na hayajulikani yataibuka lini.Uwazi huo ameuweka jana wakati akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Songea mjini mkoani Ruvuma kwa tiketi ya CCM Dk, Damas Ndumbaro kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya bombambili Manispaa ya Songea.Nnauye ambaye aliwahi kuwa katibu wa hitikadi na uenezi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News