MBUNGE WA CHADEMA AKERWA NA BUNGE KUTOGHARAMIA MATIBABU YA TUNDU LISSU

Mbunge , Lema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amehoji sababu za Bunge kutogharamia matibabu ya Tundu Lissu aliyepo nchini Ubelgiji tangu Januari 7, 2018 akipatiwa tiba ya mazoezi. Lema ametoa kauli hiyo Jana Februari 8, 2018 bungeni mjini Dodoma wakati akichangia taarifa za utekelezaji wa shughuli za kamati za Bunge za Utawala na Serikali za Mitaa, Katiba na Sheria na Sheria Ndogo. Lissu ambaye ni mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) alishambuliwa kwa zaidi ya risasi 30 akiwa ndani ya gari lililokuwa nje ya makazi yake mjini Dodoma Septemba...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News