MBUNGE ROSE TWEVE ACHANGIA MAENDELEO YA UWT MKOA WA IRINGA

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Rose Tweve akiongea wakati wa baraza la (UWT) manispaa ya Iringa lililofanyika katika ukumbi wa sabasaba mkoani Iringa na kusistiza wakipewa mitaji kutoka kwenye mfuko wake wanapaswa kuutunza mtaji huo ili uongeze faida.Na Fredy Mgunda,Iringa.Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Rose Tweve amewainua wanawake wa chama cha mapinduzi (UWT) kwa kutoa mitaji kupitia mfuko ambao ameuanzisha wa kuwainua wanawake wenye kipato kidogo.Akizungumza nablog hii mbunge Tweve alisema kuwa lengo la kutoa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News