Mbunge Kubenea asema Bunge limemtelekeza Lissu

MBUNGE wa Ubungo,  Saed Kubenea  (Chadema) amesema Bunge  chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai limekataa kugharamia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema),  aliyepigwa risasi zaidi ya 38 akiwa nyumbani kwake mjini Dodoma, anaandika Mwandishi wetu. Wakati Bunge likikataa kugharamia  matibabu Kubenea amesema Spika Ndugai  yeye aligharamiwa matibabu yake nje ya nchi ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News