Mbunge Chadema aibua sakata la uchaguzi kata 43

Mbunge wa viti maalumu (Chadema), Devotha Minja jana aliibua bungeni sakata la uchaguzi wa udiwani katika kata 43 uliofanyika Novemba mwaka jana akidai kwamba baadhi ya wagombea wa Chadema walishinda, lakini hawakutangazwa kuwa washindi....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News