Mbunge CCM, mwenyekiti wake wahojiwa polisi kwa amri ya DC

Mbunge wa Hanang (CCM), Dk Mary Nagu na mwenyekiti wa chama hicho wilayani hapa, Mathew Darema wamehojiwa kituo cha polisi Katesh kwa amri ya mkuu wa wilaya hiyo, Sarah Msafiri  wakidaiwa kuichonganisha Serikali na wananchi. ...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News