Mbowe aruhusiwa hospitali

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa KCMC ameruhusiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mbowe alilazwa hospitalini hapo jana akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa.  Ofisa Habari wa KCMC, Gabriel Chisseo amesema kuwa Mbowe ameruhusiwa baada ya madaktari kuridhishwa na afya yake iliyorejea katika hali ya kawaida....

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 5 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News