Mbowe amemkumbuka Gadafi na Nyerere salamu za Mwaka Mpya

Leo January 1, 2018 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Hai, Freeman Aikael Mbowe amemshukuru MUNGU  kwa kumvusha mwaka 2017 na kuingia mwaka mpya wa 2018 na  kuwataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo. Kupitia ukurasa wake wa Facebook wenye zaidi ya watu elfu hamsini Mbowe amekumbushia baadhi […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 1 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News