Mbona uhusiano wa Marekani na Israeli ni muhimu?

Marekani imekuwa na uhusiano wa karibu mno na Israeli, na rais baada ya mwingine amekuwa akieleza azma yake ya kwendelea kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Marais wengi wa Marekani wamefanya kila mbinu kujaribu kutatua mzozo wa miaka mingi kati ya Palestina na Israeli, bila ya mafanikio makubwa....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News