Mbinu Mpya: Unga wasafirishwa ndani ya DVD

KAMADA wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba Sheikhan Mohamed Sheikhan, akiwaonyesha waandishi wa habari hawapo pichani, mbinu mpya zinazotumiwa na wasafirishaji wa madawa ya kulevya, kutoka Unguja na kuingia Pemba kwa kupekiwa ndani ya DVD,jeshi hilo limekamata kete 969 zikiwa zimehifadhiwa humo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 22 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News