MBELGIJI AIENDESHA SIMBA KIMATAIFA

SAADA SALIM NA HUSSEIN OMAR KOCHA wa Simba, Patrick Aussems, ameamua kuiendesha timu hiyo kimataifa, baada ya kuweka wazi kwamba yeye ndiye atakuwa akitoa taarifa za kikosi hicho kuanzia masuala ya kiufundi na wachezaji majeruhi. Aussems amesema hayo jana asubuhi, baada ya mazoezi ya kikosi hicho yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni muda mfupi tangu watoke sare ya bao 1-1 dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana. Timu hiyo, ambayo iliweka kambi ya wiki mbili nchini Uturuki, iliambulia sare hiyo kwenye mchezo wa kirafiki wa kuadhimisha...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News