Mbaroni kwa kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka minne kisiwani Pemba

Na Masanja Mabula -Pemba BAKAR Khamis (25) mkaazi wa Mitondooni Wilaya ya Wete, anadaiwa kumnajisi (kumlawiti) mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka minne huko Shehia ya Piki Wilaya hiyo.Akizungumza na mwandishi wa habari hizi baba mzazi wa mtoto huyo alisema   mtuhumiwa alimchukuwa mwanawe hadi Bahanasa na kuingia kwenye gari ya abiri na kumpeleka bonde la Hindi na kumfanyia ulawiti.Alisema   mtuhumiwa ni mgeni katika shehia hiyo, alikwenda kwa kutembea, ingawa alichokifanya ni kumchukua mtoto wake na kwenda kufanyia kitendo cha ulawiti, jambo ambalo linamtia huzuni kila anapofikiria.“Huyo mtuhumiwa ni mgeni hapa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 12 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News