Mawakili wa Serikali ya Zanzibar watoa elimu ya Sheria nchini

 Wakili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Juma Abdalla Ali akitoa Elimu kwa Wananchi wa Bwejuu  Wilaya ya Kusini  Unguja juu ya kuifahamu vyema Sheria ya Mahakama ya Kadhi na Sheria ya Ardhi  pamoja na kuelewa sheria ya Udhalilishaji ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya wiki ya sheria Zanzibar ambayo kilele chake ni Februari 12 katika kiwanja cha  Baraza la Wawakilishi la zamani kikwajuni mjini Zanzibar. Wakili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Abubakar Ali Omar  akitoa Elimu kwa Wananchi wa Bwejuu  Wilaya ya Kusini  Unguja juu ya kuifahamu vyema Sheria ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News