Matokeo ya Mechi Zote za Europa Leage Hatua ya 16 Bora Haya Hapa

Hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Europa League ilichezwa usiku wa March 8 2018 kwa michezo nane kuchezwa barani Ulaya, hizi ni game za kwanza ambazo zimechezwa leo baada ya game za marudiano ndio tutajua timu gani zimeingia robo fainali. Inawezekana ulikuwa mbali na TV na hukupata fursa ya kutazama game zenyewe, naomba nikusogezee matokeo ya game zote nane. ...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News