Matokeo ya Champions League Lionel Messi akivunja rekodi yake mbovu kwa Buffon

Michezo nane ya ufunguzi hatua ya Makundi ya michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2017/2018 imechezwa usiku wa Jumanne ya September 12 2017 barani Ulaya, FC Barcelona wamecheza mchezo wao wa kwanza dhidi ya Juventus ya Italia katika uwanja wa Nou Camp. Barcelona wakiwa katika uwanja wao wa Nou Camp wameendeleza rekodi yao kwa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News