Mashindano ya Golf ‘UHURU CUP’ Kufunika Dar es Salaam Jumapili Hii.

Wito umetolewa kwa wakazi wa jiji la Dar es salaam na kwa wapenzi wa Golf nchini kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mashindano maalumu ya Golf yatakayo fanyika katika viwanja vya Lugalo Jijini Dar es salaam Wito huo umetolewa na Bwana William Msheli Mkurugenzi wa kampuni ya WIHAB GROUP kwa kushirikiana na EAG GROUP ambao ndio waandaaji wakuu wa Tamasha hilo la Uhuru Cup Open linalotarajiwa kufanyika tarehem 10/12/2017 siku ya jumapili katika viwanja vya Lugalo Jijini Dar es salaam Msheli akizungumza na waandishi wa habari mapema katika uzinduzi wa mashindano hayo...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News