Mashabiki wamtuhumu meneja wa Diamond Platnumz

Meneja wa msanii wa muziki Diamond Platnumz, Sallam SK ametupiwa dongo  na mashabiki kuacha tabia ya kuhamishia bifu za watu kwa Mwanamuziki wake Diamond.     Sallam amedaiwa kuwa na tabia ya  kuzima skendo za wanamuziki wa Wasaf (WCB) kwa kile kila kinachotokea hupenda kusema kauli ya 'Yote yanayotokea ni kwa ajili ya Diamond kutaka kupotezwa kwenye Muziki' hata kama wanamuziki hao wamefanya kosa, yeye hupoteza kwa kumtanguliza Diamond. Hivi karibuni ilitokea inshu ya mnenguaji wa Diamond ,Moses Iyobo kwenda kuhojiwa na Shilawadu lakini alishindwa kutoa ushirikiano na matokeo kudaiwa kufanya...

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News