MASHABIKI WA ARSENAL TANZANIA WATOA MSAADA WA MIL 1.5

UMOJA wa mashabiki wa Arsenal nchini Tanzania wametoa msaada wa viti vya matairi matatu vyenye thamani ya shilingi milioni 1.5, pamoja na kuchangia damu salama kwenye Hospitali ya Mwananyamala jiji Dar es Salaam. Akizungumza na MTANZANIA, Mwenyekiti wa umoja huo Raymond Anthony amesema nia ya kufanya hivyo ni kuonyesha thamani ya ushabiki kwa jamii. “Kushabikia soka sio uhuni wala upuuzi kama baadhi ya watu wanavyoona na  ndio maana tumeweza kutoa msaada huo wa viti vya magurudumu matatu sita na kuchangia damu salama kuungana na serikali katika kupunguza vifo vya wajawazito,”...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Sunday, 17 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News