Marekani yasema inasimamia amani Mashariki ya Kati

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson amesema Jumatano kuwa Marekani bado inafikiri kuwa “kuna fursa nzuri sana ya kufikia amani” kati ya Israeli na Palestina huko Mashariki ya Kati....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News