Marekani Yaionyeshea Ubabe wa Kivita Korea Kaskazini

Jeshi la Marekani limerusha ndege yake aina ya B-1B bomber katika anga ya Korea Kusini kama sehemu ya mazoezi ya pamoja ya angani katika hatua inayoonekana kama onyo kwa Korea Kaskazini. Mazoezi hayo ya kijeshi yanafanyika wiki moja baada ya Korea Kaskazini kurusha kombora ililodai kuwa ni la masafa marefu ambalo linaloweza kushambulia nchini Marekani. Marekani awali imerusha ndege hizo zenye uwezo wa juu kuonyesha ubabe baada ya majaribio ya makombora ya Korea Kaskazini au majaribio ya mabomu ya nyuklia. Zaidi ya ndege 200 na maelfu ya wanajeshi wanashirikia...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News