Maombi kwa Lissu yapigwa 'stop' Sumbawanga

Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) mkoani Rukwa, leo Jumatano kimeshindwa kufanya maombi maalumu kwaajili ya kumuombea Mbunge Singida Mashariki,  Tundu Lissu aliyejeruhiwa kwa risasi hivi karibuni baada ya polisi mkoani humo kuzuia kwa kueleza kuwa haliruhusu mkusanyiko....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News