MANGULA ATUMA UJUMBE MZITO KWA VIONGOZI WA DINI

NA MWANDISHI WETU KAULI tata zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa dini nchini, zimemsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula kutuma ujumbe mzito kwao. Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia ya baadhi ya viongozi dini kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na yale yanayohusu siasa. Aidha viongozi hao wamekuwa pia wakiinyoshea kidole Serikali kwa kuzingatia masuala mbalimbali yanaobua mijadala kwenye mitandao ya kijamii. Mwenendo huo wa baadhi ya viongozi wa dini umemsukuma Mangula ambaye ni miongoni mwa wanasiasa  wachache wanaoamini katika siasa zenye kujali...

read more...

Share |

Published By: Rai - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News