Maneno 20 kayaandika Lema baada ya Ofisi za Wakili wa Manji kuvamiwa

Moja ya stori zilizo-make headline jana September 12, 2017 ni pamoja na kuvamiwa kwa Ofisi za Wakili Hudson Ndusyepo ‘Prime Attorneys’ ambaye anamtetea Mfanyabiashara Yusuf Manji ambapo nyaraka kadhaa zimeibiwa. Kuvamiwa kwa Prime Attorneys kunakuja siku 18 baada ya kuvamiwa na kulipuliwa kwa Ofisi za IMMMA Advocates ambapo watu wamekuwa wakilaani tukio hilo na miongoni mwao ni […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News