Mandhari ya Hospitali Anapotibiwa Tundu Lissu

Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, nchini Ubelgiji ambako Mbunge Tundu Lissu anaendelea na awamu ya tatu ya matibabu yake, baada ya kushambuliwa kwa risasi mjini Dodoma. Leuven ni moja ya hospitali mashuhuri barani Ulaya. Ilianzishwa mwaka 1080 na kuanza kufundisha mwaka 1426. Eneo la ndani ya Hospital Miongoni vya Vyumba vya ndani ya Hospitali hiyo Mazingira ya eneo la hospitali kwa nje Vyumba vya Maabara ya Hospital hiyo...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News